Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto akiongea na wakazi wa Mtaa Kitalu "D" Njiro katika mkutano uliofanyika tarehe 18.11.2012 juu ya uanzishwaji wa vikundi vya ulinzi shirikishi.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Kitalu "D" Njiro Bw.John Kihwele akihesabu fedha zilizopatikana baada ya Mkuu wa Polisi wilaya ya Arusha Mrakibu Mwandamizi wa Polisi Gilles Muroto (kushoto kwake) kuchangisha fedha hizo kwa njia ya harambee katika mkutano uliowajumuisha, askari Polisi, viongozi wa Mtaa na wakazi wa eneo hilo uliofanyika tarehe 18.11.2012.Jumla ya fedha taslimu Tsh 125,000 zilipatikana papo hapo.Picha na Mahmoud Ahmad,Arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...