Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kuna Masikini wengi sana Marekani sasa hivi na idadi itazidi kuongezeka miaka minne ya Obama.

    Makampuni mengi ya Marekani yamehamishia viwanda China kwa wachapa kazi.

    Wamarekani wamekuwa watu wa ajabu sana na wavivu wa kazi kutokana na sera mbaya za chama cha Democratic.

    Obama amesupport wanaume kufanya mapenzi na wanaume wenzao na wanawake kufanya mapenzi wao kwa wao. Dunia inaelekea kubaya sana.

    Chama cha Obama kinaruhusu msichana kutoa mimba akipenda. Hii ni balaa.

    Democratic wanapenda kutoa misaada kwa wazee na watu wasiojiweza kuwanunulia chakula bure bila kufanya kazi. Hao watu walikuwa hawatunzi pesa zao kazi kuvuta Bangi Na Kufanya mapenzi jamii moja.

    Idadi ya Wamerekani wanaolipiwa chakula na Serikali ya Obama ni Sawa na Idadi ya Watanzania wote.
    Milioni 43 Chakula bure

    Obama ndio alimutuma Waziri mkuu wa Uingereza kuwatishia viongozi wa Africa kuruhusu na Kutetea watu Wanafanya mapenzi ya Wanaume kwa Wanaume na Wanawake kwa Wanawake.

    Wamerekani wamekwisha kabisa. na hawana deal KABISA.

    Na miaka hii minne ya Obama ni Lazima agote kwani Tatizo sio kazi bali ni Tabia ya hao wafanya kazi.
    Wavuta bangi, wasioheshimu mila na desturi za kutunza familia, kulala jamii moja, kuvuta bangi, Madawa ya kulevya, kupenda makubwa bila kuchapa kazi.


    Republican ndio wanaume wa kazi.
    Kwanza wanasema, asiye fanya kazi na asile.
    ukibakwa ukapata mimba ni lazima uzae,

    Ndoa ni Kati ya Mwanaume na Mwanamke .

    Kutunza familia na jamii. Kuheshimu ukoo.

    Mifano ya watu wa Republicans inayofaa kuigwa ni kama
    Mitt Romney-Ndoa moja tokea miaka ya sitini. Anavijana wake watano wote wachapa kazi na wamekwishaoa na wanawatoto.

    George H. Bush Rais wa Marekani wa 41 - ndoa moja mpaka leo anamiaka kama themanini na.
    Kijana wake George W. Bush akawa Rais wa 43 wa Marekani na Kijana wake Mwingine Ambaye ni Mtawala wa Florida Geb Bush nae Republican.

    Watu wengi wanashabikia Democrati bila kujua misingi ya Chama hicho.

    Watanzania tuwakwepe Wamarekani sasa la sivyo tutarudi kwenye utumwa.

    ReplyDelete
  2. Duh! Anony wa kwanza umeongea kweli. Wengi wetu tunawashabikia hawa watu bila kujua core values zao.

    Ki ukweli watu wanamshabikia Obama bila kujua undani wake

    -Moja, utawala wake unawafanya watu wasijitume kikazi wawe tegemezi kwenye serikali, wakati Republican wanafundisha watu kuwa na personal responsibility
    .
    -Obama anaruhusu ushoga na anataka kuueneza dunia yote. Yeye ndio alikuwa kwenye njia moja na waziri wa Uingereza. Wakati Republican wao wanasaidia 3rd world bila mashart ya Ushoga. Tunao mfano wa Bush...kasaidia sana malaria Tanzania bila masharti ya ushoga

    -Pia Obama na chama chake cha democrat wanataka watu watoe mimba (kuua unborn child)-Republican wapo kinyume na hili na wanasema utoaji mimba sio maadili mema.

    -Republican wanasema serikali iwape watu uwanja wa kutumia vipaji vyao kibiashara na kutengeneza sheria zitakazo walinda, wakati democrat wanasema business ni ngumu na watu inabidi wasaidiwe kufanya maamuzi na serikali

    Mwisho, ki ukweli kama alivyo sema anony wa kwanza, Romney sio mtu mbaya kama watu wanavyo muharibia jina. Angalia kipimo chake ni kwamba amekua na muke mmoja kwa maisha yake yte. Na nimsichana aliye mjua akiwa shule. Romney ni business man, ame earn utajiri wake, ametake chances, risk na kafikia alipo fika. Watu wanasema analipa kodi kidogo. Romney amelipa kodi nyingi kuliko alizo lipa Obama na Joe biden combine. habari ndio hiyo.

    ReplyDelete
  3. Wewe mtoa maoni hapo juu unatuambia sisi ili itusadie nini? Sisi ni wamarekani? Baadala ya kutoa ushauri namna ya kuijenga Tanzania unateleza habari za Marekani. Kwani hao waliompigia kura hawajayaona hayo yote ila wewe?

    ReplyDelete
  4. The greatest enemy of knowledge is not ignorance, it is the illusion of knowledge. Siwezi kuamini Muafrika anaweza kutoa mawazo finyu kama ninyi. Haya basi Tanzania imeingia kwenye globalization ngoja muone...it's just the matter of time mtaona athari za ubepari usiokuwa na regulations. Kama hujaziona bado ni miaka michache tu utazioa. The gap between the rich and the poor is so huge in such a way hata ukifanya kazi masaa 24 hutatajirika. Usiongee vitu kama upana wako wa mawazo ni mfupi. Mdau, CA, USA

    ReplyDelete
  5. those who complain about Obama's admin they don't know what they are talking about without Mr. BO the world would collapsed 4 yrs ago, because Bush who is GOP destroyed US economy which is the key to the world's economy. I can suggest you check the facts before posting non-sense.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...