Hii ni Ofisi ya Tanesco kitengo cha dharura kilichopo eneo la Temeke,ambacho kinaonekana kabisa kwamba hakuna huduma inayopatikana hapa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kama tunahitaji maendeleo ya ukweli ni lazima tuwe na kawaida ya kuwafukuza kazi wasimamizi wanaoruhusu hali kama hii kutokea, vinginevyo tutakuwa tunalea uzembe tu.

    ReplyDelete
  2. TANESO NI TATIZO KUBWA SANA KWA MAISHA YA WATANZANIA. SIKU HIZI WAMEANZA KUDAI RUSHWA MCHANA KWEUPEE, WANAKUKATIA UMEME HALAFU WANAOMBA RUSHWA WAKURUDISHIE. UKIKATAA WANAKUBANDIKA KOSA. MTEJA HANA HAKI. RUSHWA IPO HADI NGAZI ZA JUU, HATA ULALAMIKE HAISAIDII

    ReplyDelete
  3. Msiwaonee bure Tenesko, mbona kwenye mabenki mengi tena makubwa kuna madirisha zaidi ya kumi moja tu ndilo lifanyalo kazi hampigi kelele?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...