Meneja wa Mradi wa Sauti ya Busara Journey Ramadhani akifafanua jambo
mbele ya Waandishi wa Habari i kupinga maelezo yaliotolewa
na Mtoto wa Kaka wa Msanii Mashuhuri Mkongwe Bi Kidude Binti Baraka, Baraka
khamis, alioyatoa katika vyombo vya Habari akielezea kuwa Sauti ya Busara imedhulumu Mali za Msanii huyo leo katika Ukumbi wa Habari Maelezo Kikwajuni
Zanzibar.
Mkurugenzi wa Sauti ya Busara Yussuf Mahamoud akitoa maelezo namna
walivyokutana na Msanii Mashuhuri Mkongwe Bi Kidude Binti Baraka hadi kufikia
kumtunzia Fedha zake, akionesha Risiti ambazo Msanii huyo Mashuhuri alizochukulia Fedha,
Mwandishi wa Habari wa Channel Ten Tv Muniyr Zakaria akiuliza maswali
katika Mkutano wa Sauti ya Busara hapo katika Ukumbi wa Habari Maelezo
Kikwajuni Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...