"Wanachuo wote waliomaliza chuo cha UHAZILI Tabora mwaka 1989, mnaombwa kukutana JOLLY CLUB siku ya IJUMAA tarehe 16/11/2012 saa 11.00 jioni kuna jambo muhimu la kuzungumza, usomapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.

Wasiliana na wafuatao kwa maelezo zaidi na kuthibitisha kushiriki wako. KARIBUNI SANA
1. Grace Mwanambilimbi Mwesi 0784 351620
2. Cecilia Makwaia - 0655 819803
3. Joyce Nachenga Pamba - 0763 635500

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. We Joisi Mdala gwangu,

    Sasamndo nini kwenda kukutania Jolly? Kwani mmekosa sehemu zingine?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...