Msafara wa JK baada ya kuzindua barabara ya kilomita 32 ya Mkuu Rombo-Tarakea mkoani Kilimanjaro wiki hii ambayo inasemekana ni mojawapo ya barabara bora nchini iliyojengwa na serikali



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. ni nini sasa?naona vx v8 tu za msafara wa mkulu na rondo za kina ras makunja sioni raia kwani bara bara zilijengwa kwa ajili ya nani?usiibane hii

    ReplyDelete
  2. Untakana wanakijiji nao wawemo kwenye msafara wa raisi?

    ReplyDelete
  3. jamani vipi barabara ya Nzega - Tabora? Moshi tuuuuu, tuhurumieni.

    ReplyDelete
  4. Kaka,

    Hiyo kona ya yuu tan hiyo kaka kama watu wasipokuwa makini hapomlazima watajibwaga hapo

    ReplyDelete
  5. Hongera Hongera Mkuu Rombo-Tarakea Mkoani wa Kilimanjaro! Angalia Tanzania inavyo meremeta.

    ReplyDelete
  6. Huko nzega jibidisheni mtafwata --- laleni muone mtavyoachagwa! mwe!

    ReplyDelete
  7. siasa ni mchezo wa kujititimua ili mtawala akuone sasa wewe wa Nzega kila siku unampa ndiyo CCM unadhani atakujali vp kama sio kukuona mdebwedo! Huku Rombo wamemjimba biti CCM akaishia kulegea alimradi tu arudishe jimbo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...