Kaimu Katibu Tawala Mkoa
wa Rukwa Samson Mashala akikagua timu za Small Kids ya Rukwa na Mkamba Rangers
kutoka Morogoro kabla ya mpambano kati yao uliofanyika katika uwanja wa
Nelson Mandela Mkoani Rukwa. Katika pambano hilo timu ya Small Kids illibuka na
ushindi mnono wa goli tatu bila (3-0).
Timu ya Mkamba Rangers
kutoka Ifakara Mkoani Morogoro.


Small Kids ndio nini?
ReplyDeleteBaba wazima halafu wanajiita 'dogo'!
ReplyDelete