Mkurugenzi wa Vijana Nchini, Prof. Elisante Ole Gabriel akisisitiza jambo wakati wa Semina ya Vijana Wajasiriamali wa Mkoa wa Mwanza ilifanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tarehe 26/11/2012.
Baadhi ya Vijana walioshiriki kwenye Semina ya Vijana Wajasiriamali wa Mkoa wa Mwanza ilifanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tarehe 26/11/2012.
Picha ya Pamoja ya Vijana walioshiriki kwenye Semina ya Vijana Wajasiriamali wa Mkoa wa Mwanza ilifanyika katika Ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, tarehe 26/11/2012.Picha na Atley Kuni ( Afisa habari Mkoa wa Mwanza).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mwanza ChrisNovember 28, 2012

    Ndio anagundua leo?.. Mbona watu wengi Mwanza tunalifahamu tatizo hilo?
    Solution yake ni nini??!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...