Jamaa na marafiki wakiwa katika ofisi za msajili wa vizazi na vifo, jijini London leo, kwa ajili ya kupata nyaraka muhimu za kuwezesha mwili wa Marehemu Fred Mttoi, kupelekwa nyumbani kwa mazishi, nyaraka hizo zimepatikana na taarifa rasmi itatolewa hivi karibuni.
Home
Unlabelled
updates za msiba wa marehemu fred mtoi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...