Anaeonekana upande wa kushoto kwenye ngazi ni Kondakta wa daladala hilo akichukua nauli kwa abiria waliokuwa wamekaa juu ya Daladala hilo.sijui Sumatra wanalitambua hili???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. ....ndugu unataka sumatra watambue nini? Unajua ugumu wa usafiri? ..juzi nimekaa kituoni masaa mawili pale magomeni kusubiria mana kila gari limejaa sio mkazi wa mbagala ila pale naondoka wa mbagala kati ya mia ni kama watu 5 tu walio weza kuning'inia milangoni katika mabasi machache yaliyo kuja usafiri ni shida baada ya kuhimiza njia mbadala kuweza kutatua msongamano wa watu vituoni tunaangalia walio kaa juu ...ni hatari tena sana ila ufanye nini? Ulale kituoni hamna njia ...

    ReplyDelete
  2. Matatizo ya usafiri ni jiji zima sio Mbagala pekee,

    Ukweli ni kuwa Usafiri unatakiwa usome mwenendo wa mabasi na mtiririko wa watu, hii ni kuzingatia ni muda gani unaondoka sehemu.

    Mfano kama ulikuwa unaondoka Mbagala asubuhi saa 1 ukakuta watu kibao kituoni unatakiwa uondoke angalau saa moja nyuma yaani saa 12 asubuhi, kama utaona bado ondoka saa 11.30 ni wazi utakuwa nafuu.

    Hata kurudi nyumbani jioni ni hivyo hivyo zingatia muda kwa kubadili muda wa kuondoka.

    Nataka muangalie kwa wale wanaokuwa maeneo ya Posta asubuhi, waone ukitaka kwenda Masaki inakuwaje?, ni kuwa usafiri wa Masaki asubuhi kwa njia ya Basi hauna tofauti na Mbagala lazima utagombani basi.

    Hata ukienda Kimara ,au Tabata asubuhi ni wazi lazima utapata changamoto vile vile ya ugumu wa usafiri.

    Mimi nakaa Mbagala na sijawahi kufululiza kukosa usafiri kwenda na kurudi Posta ktk shughuli zangu kwa kuwa niemsha soma mwenendo wake.

    Hivyo usafiri jijini ni mgumu sehemu zote kama nilivyo wafafanulia hapo maeneo tofauti Jijini na kuwa ukitaka usafiri mzuri uwe na timing na uusome mwenendo wake!

    ReplyDelete
  3. Matatizo ya usafiri ni jiji zima sio Mbagala pekee,

    Ukweli ni kuwa Usafiri unatakiwa usome mwenendo wa mabasi na mtiririko wa watu, hii ni kuzingatia ni muda gani unaondoka sehemu, iwe kutoka nyumbani asubuhi ama kurejea nyumbani jioni.

    Mfano kama ulikuwa unaondoka Mbagala asubuhi saa 1 ukakuta watu kibao kituoni unatakiwa uondoke angalau saa moja nyuma yaani saa 12 asubuhi, kama utaona bado ondoka saa 11.30 ni wazi utakuwa nafuu.

    Hata kurudi nyumbani jioni ni hivyo hivyo zingatia muda kwa kubadili muda wa kuondoka.

    Nataka muangalie

    1.kwa wale wanaokuwa maeneo ya Posta asubuhi, waone ukitaka kwenda Masaki inakuwaje?, ni kuwa usafiri wa Masaki asubuhi kwa njia ya Basi hauna tofauti na Mbagala lazima utagombania basi ama kulazimika kuingilia ndani ya basi kwa kupitia dirishani!!!.

    2.Hata huko Kimara ,au Tabata asubuhi ni wazi lazima utapata changamoto kuingia kati kati ya Jiji vile vile kwa ugumu wa usafiri, vivyo hivyo kurejea sehemu hizi jioni usafiri pia ni mgumu na foleni ni kali sana hasa njia ya Kimara (watu wanatumia masaa 3 hadi ma 4 kufika majumbani jioni)

    Mimi nakaa Mbagala na sijawahi kufululiza kukosa usafiri kwenda na kurudi Posta ktk shughuli zangu kwa kuwa niemsha soma mwenendo wake.

    Hivyo usafiri jijini ni mgumu sehemu zote kama nilivyo wafafanulia hapo maeneo tofauti Jijini na kuwa ukitaka usafiri mzuri uwe na timing na uusome mwenendo wake!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...