IJUMAA hii, Mzalendo pub patawaka MOTO, "USIKU wa MAYENU" ni "EXTRA
MUSICA na WENGE BCBG"
Nani ZAIDI  ??
  dj TOO SHORT na dj MACKAY watasababisha,
    SUPRISE !!, watanashaTi Wooote wanapatikana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamanii LAPF wenye jengo ni taasisi ya umma, hivyo mue mfano mzuri wa kuzingatia sheria. Muziki unaopigwa Mzalendo pub open space ni kero kubwa kwa makazi wa makumbusho, kijitonyama, mikocheni kwa kuwa na makelele sana na pia ni kinyume na Sheria za halmashauri za uchafuzi wa mazingira kwa sauti kubwa. Watoto kulala na kufanya home work ini vigumu kwa sababu ya makelele. Kwa Kuwa halmashauri na polisi wameshindwa kusimamia sheria zilizoko za kuzuia noise pollution basi tunaomba LAPF isaidie kwa kumlazimisha mpangajii wa Mzalendo pub azingatie sheriaa kwa kutopiga mziki kwenyee open space la sivyoo pango lisitishwee, Sheria nii Kwanzaa mziki wa Sautii Kubwaa upigiwe kwenyee ukumbi uliokuwa sound proof. chonde chonde LAPF, board members pia mtusaidie kuhakikisha Mali za umma hazitumiki na wapangajii Kuvunjia Sheria, mdau joe bura dar

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...