MAREHEMU MAMA EDNA LIGATE SANDE
1945 - 2003

Leo ni miaka tisa (9) tangu ulipotwaliwa na mungu mama yetu tarehe 30 novemba, 2003. ni kama ndoto bado lakini tunamshukuru sana mungu kwa ajili yako mama yetu, yote ni mapenzi  yake.

Familia ya Mzee Adam Ligate Sande wa Forest Mbeya pamoja na watoto wako Osward, Liz, Jerry, Tabitha, Patricia na Mwapi tunakukumbuka mno kwa malezi mazuri na mafunzo uliyotupatia.

Tunakukumbuka Upendo wako wa dhati, Ucheshi wako, Ukarimu wako na mengine mengi ambayo ulituachia hasa upendo.

Unakumbukwa pia na wakwe na wajukuu zako majirani zako na ndugu kwa ujumla.

JOSHUA 1:9


MUNGU AZIDI KUKUPA PUMZIKO LA MILELE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ndugu yangu Osward
    Mimi sikuwa nafahamu kuwa Mama yetu alitwaliwa, asante kutujuza na sisi lakini tumkumbuke Mama kama Mwalimu mwema sana wale ambao tulipita kwenye mikono yake, tunamshukuru Mungu sana kwa kumpa uhai na kuwa miongoni mwetu.
    Asante
    George William
    Ex-Mbalizi Road Primary School Pupil

    ReplyDelete
  2. Na mwenyezi Mungu aendelee kumpatia pumziko la Amani.

    ReplyDelete
  3. R.I.P Mama Mkubwa still remember your smile

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...