Dr Nazeem Shabir (kushoto) akimpima Mkuu wa kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr Erasto Sylvanus (kushoto) akimpima mtoto waliofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr Yakubu Sanga (kushoto) akimhudumia msanii maarufu wa televisheni Bi. Kiroboto alipofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Sehemu ya madaktari wa Chama Cha Madaktari Tanzania - MAT wakiwahudumia wangonjwa waliofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr Elibariki Kalua (kulia) akimpima sukari mama Felister Raymond alipofika katika viwanja vya Hindu Mandal mjini Moshi kupata tiba, kwenye kambi ya afya inayoendeshwa na Chama Cha Madaktari Tanzania na mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.
Dr. Isack Maro Mtangazaji wa kipindi cha njia Panda na Afya Check vya Clouds FM na Clouds TV akibadilishana mawazo na madaktari wenzake mjini Moshi katika kambi ya afya iliyofanyika viwanja vya Hindu Mandal. Kambi hizi za afya zinazofanyika katika mikoa mbali mbali zinaendeshwa na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) na Mabalozi wa Afya kwa udhamini wa Vodacom Foundation.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...