Judith Nshobeirwe akimvika taji Mhitimu mwenzake wa cheti cha biashara na masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Hawa Nyato wakati wa Mahafali ya pili ya kitengo cha Komputer cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam,hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa cheti cha Biashara na Masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano katika Kitengo cha Komputer cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Hawa Nyato na Judith NshobeirwE wakiwa katika pozi ya picha wakati wa mahafali yao ya pili yaliyofanyika katika Viwanja vya Karuimjee jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA KWA WAHITIMU WOTE, NA WENGINE WAIGE SANA, IKIWEZEKANA MSIISHIE HAPO TU NGAZI BADO NDEFU MZIDI KUPANDA. TUTOFAUTISHE KATI YA TAJI NA SHADA, MATAJI HUVIKWA KICHWANI NA MASHADA NDIO HUVIKWA MABEGANI/SHINGONI NA MENGINE HUWEKWA JUU YA MAKABURI N.K.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...