Katibu Mkuu Ofisi ya makamu wa Rais Bw. Sazi Salula akizungumza katika ufunguzi wa warsha ya wadau ya ufuatiliaji na tathmini ya kitaifa wa Kuhimili mabadiliko ya tabianchi mjini kibaha, leo kushoto ni Mkurugenzi msaidizi Idara ya mazingira Ofisi ya makamu wa Rais Bw. richard Muyungi.
Washiriki wa Warsha ya ufuatiliaji na tathmini ya kitaifa ya kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi, mjini Kibaha. Picha na Evelyn Mkokoi OMR).


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...