Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa ( kati kati) wakioketi, akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa TIA mara baada ya kumalizika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa nne wa Baraza la wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania ( TIA) kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gwami, Mjini Morogoro, kwa mujibu wa Uongozi wa Baraza hilo, mkutano huo ni wasiku mbili uliopangwa kufikia tamati Novemba 30, 2012,
Taasisi ya Uhasibu Tanzania inaendesha mafunzo ya michepuo ya biashara, uhasibu, rasilimali watu na ugavi katika ngazi ya Cheti, Stashahada, Stahashahada ya juu na Shahada.Picha na John Nditi,Morogoro.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa nne wa baraza la wafanyakazi wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) wakimsikiliza Waziri wa Fedha , Dk William Mgimwa ( hayupo pichani) alipofungua mkutano wa nne wa Baraza hilo, Nov 29, 2012 kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gwami, Mjini Morogoro.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...