Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Mh. Dkt. Hussein Mwinyi akisoma Hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa saba wa GAELF (Global Alliance to Eliminate Lymphatic Filariasis) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki ya Dunia,Jimbo la Washington DC nchini Marekani.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,Mh. Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mkutano huo kutoa Tanzania,ambao ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Kimatibabu (NIMR),Dkt. Mwele Malecela (katikati) na Mratibu wa Taifa kwa magonjwa yaliyosahaulika (NTD),Dkt. Upendo Mwingira.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...