Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uthibiti wa Manunuzi ya Umma Dkt. Ramadhani S. Mlinga kwa uwasilishaji wa ripoti ya mwaka 2011/2012.
Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya uthibiti wa Manunuzi ya Umma Jaji Thomas B. Mihayo akikabidhi ripoti ya utendaji ya mwaka 2011/2012 kwa Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.
Mhe. Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa akisikiliza hotuba aliyokuwa akitoa Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Uthibiti wa Manunuzi ya umma Jaji Thomas B. Mihayo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...