Dk.Song Gmhwa(kulia) raia wa Korea akimwangalia Bibi wa kimasai, Naniai Poranda, macho kwa kutumia kifaa maalum ambayo yanamatatizo ya kuona wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu.
Dk.Song Gmhwa(kulia) raia wa Korea akimwangalia Bibi wa kimasai, Naniai Poranda, kinywa kwa kutumia kifaa maalum wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu
Dk. Seung Woo Park(kulia) raia wa Korea akimpima Bibi wa kimasai,Ngaisi Sumuni wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu.
Dk.Moon Eunmi (kushoto) raia wa Korea akimwelekeza Mama wa kimasai,Nariku Ngera namna ya kutumia dawa kwa kumpa Mtoto wakati wa huduma ya afya ya kujitolea ya wafanyakazi wa Samsung Medical Center na Sumsung Electronics iliyofanyika katika kijiji cha Elmorijo, Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha.Zaidi ya watu 600 walipewa matibabu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Napendekeza uchambuzi wa picha ufanyike kwa makini zaidi. Picha mojawapo inaonyesha sehemu ya mwili (ya ndani) ya bibi wa kimasai na nadhani "ethically" si sahihi kuiweka mahali kama hapa. Asante

    ReplyDelete
  2. Jamaa hapo juu kamchungulia bibi

    ReplyDelete

  3. Anon anachosema hapo juu ni kweli.Michuzinakuelewa kuwa mtu makini sijui hii imepitaje? Ukimwonyesha mtu mwenye shida sehemu zake sensitive inakuwa mbaya zaidi tofauti na mtu mwenye raha..
    Basi tumweshimu huyu mama please

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...