Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Mazrui, akizungumza wakati wa utiaji wa Saini wa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika soko la Dunia uliofanuika katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar, kushoto Mwakilishi wa WIPO Neema Nyrerere na Mwakilishi wa ITC Jacky Charbounneau.
Mwakilishi wa WIPO Neema Nyerere akizungumza wakati wa utilianaji wa saini hiyo wakati akiiwakilisha WIPO kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar.
Waziri wa Biashara Nassor Mazrui akibadilishana mikataba na Mwakilishi wa ITC jACKY Charbounneau,baada ya kusaini makabaliano hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.
Waziri wa Biashara Masoko na Viwanda Nassor Mazrui, akisaini kwa niaba ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika soko la Dunia,
Mwakilishi wa ITC Jacky Charbounneau, akizungumza wakati wa utilianaji wa saini hiyo wakati akiiwakilisha ITC kusimamiaa kuitangaza Karafuu ya Zanzibar katika Soko la Dunia,wkati wa utiaji wa saini hiyo iliosainia na Waziri wa Biashara kwa niaba ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar. Picha na mdau Othman Mapara
Maendeleo makubwa Zanzibar ni uchumi wa ndani ya nchi. Wana biashara ndiyo wana hitaji kusadiwa kwenye local economices. Wana biashara wengi wadogo walikuwa wana lalamika kupata mikopo kuendeleza biashara zao.
ReplyDeletesafi,ni hatua moja muhimu sana katika kuliweka jina la zanzibar katika soko la dunia.lakini,jitihada zisiishie hapo tu.nimekuwa nikisema na kutoa ushauri tena na tena na hapa nitarudia tena.kwamba,viongozi wa zanzibar hebu kaeni pamoja na wafanya biashara wa kwenu mtayarishe proposal ya kuifanya bandari ya zanzibar kuwa international free port.bidhaa za kila aina kutoka pembe zote za dunia zitaingia hap bila ya kutozwa kodi.kisha zitauzwa bara na nchi zote majirani katika ukanda huu wa afrika.kisha kaeni pamoja na wenzenu wa bara,mzungumze kwa uwazi na mapana,jinsi project hiyo itakavyo tekelezwa na itakavyo nufaisha pande zote mbili.zanzibar ikipata na bara imepata.zanzibar ikineemeka na bara imeneemeka pia.kwa hiyo kusiwe na fitna au kinyongo cha aina yeyote hapo.pili,angalieni uwezekano wa zanzibar,iwapo ni serikali au serikali kwa kushirikiana na watu binafsi au watu binafsi peke yao,kuwa na meli kubwa na za kisasa za kubeba abiria na za mizigo,zitakazo fanya biashara katika pwani yote ya afrika ya mashariki.fanyeni mazungumzo na bara ili wazo hilo liweze kupata baraka za pande zote mbili,bila ya upande wa bara kuingiza mkono wake au kukwamisha wazo hilo.uongozi wa bara umezubaa sana kuhusu hilo,sas nyie zanzibar itumieni fursa hiyo mara moja.tatu,anzisheni viwanda vya kusinindika samaki wa bahari kwa ajili ya export, na pia viwanda vya kusindika bidhaa zitokanazo na karafuu.Anzeni na maeneo hayo MATATU TU kwanza,sura ya zanzibar kiuchumi itabadilika haraka sana.Tatizo la ajira kwa vijana visiwani litatoweka kabisa.na uchumi wa zanzibar utakua kwa kasi zaidi.Jambo hilo linawezekana kabisa,asiwandanye mtu,mshikamane katika hilo.Mkitaka ushauri na mawazo zaidi,sisi ndhugu zenu tupo.Mimi nimewahi kuishi unguja na pemba,kwa hiyo najua ninachozungumzia.Kwasasa naishi Mwanza.Ikiwa Maalima Seif atataka mawazo na ushauri wangu,mimi nipo tayari kusaidia.
ReplyDelete