Daudi Mwasambili, leo Jumapili 11/11/2012,na Jane Mwasambili wamemeremeta  katika kanisa kuu la Kiluteri.  Mnuso ulikuwa Landmark Hotel Tukuyu- hoteli dada na Landmark ya mbwani (Dar).Daudi ni kijana mpendwa mjasiriamali anaefanya biashara ya usafirishaji wa watu na bidhaa.

 Maharusi wakifungua dansi
Furaha ya harusi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongereni maharusi, "best woman" kama vile anamkaripia "best man" sijui alimsogelea kwa saaana,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...