Mwezeshaji wa msafara wa 'Caravan for Change' unaoratibiwa na
Shirika la Wanawake Katika Sheria na Maendeleo Afrika (WiLDAF), ambao unazunguka mikoani kuelimisha wananchi kuhusu ukatili wa kijinsia, Thomas Mponda, akizungumza na wanawake wajasiriamali wa soko la Kwasadala wilaya ya Moshi.Ujumbe wa wanaharakati 25 unazunguka mikoani kuelimisha kuhusu siku 16 za kutokomeza ukatili wa kijinsia.
Home
Unlabelled
Zoezi la kuelimisha jamii kuhusu ukatili wa kijinsia laendelea mikoani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...