AIRTEL WAIBUKA KIDEDEA NA TUZO YA UTENDAJI BORA (Performance Management)
MKURUGENZI WA RASILIMALI WATU WA AIRTELBw, PATRICK FOYA AKIWA AMESHIKILIA CHETI NA TUZO HIYO YA UTENDAJI BORA WALIOJISHINDIA JANA NA KUKABIDHIWA NA MH RAIS DKT, JAKAYA MRISHO KIKWETE
TUZO YA KWANZA KULIA NDIO YA UTENDAJI BORA (Performance Management) ILIYOONGEZEKA KATIKA DIPLAY/KITUNZA TUZO CHA AIRTEL MAKAO MAKUU LEO.
TUZO HIZI ZIMEANDALIWA NA ASSOCITION OF TANZANIA EMPLOYERS (ATE) NA KUKABIDHIWA KWA WASHINDI NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT, JAKAYA MRISHO KIKWETE.
SHUKRANI TOKA AIRTEL
AIRTEL TANZANIA INACHUKUA FULSA HII KUWASHUKURU WATANZANIA WOTE WANAOENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA AIRTEL, TUZO HII YA UTENDAJI BORA YA 2012 NI KWAAJILI YETU SOTE, HIVYO ENDELEA KU-ENJOY UHURU WA KUONGEA UKIWA AIRTEL. BADO TUNASISITIZA KUWA AIRTEL ITAENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUTOA MAWASILIANO NAFUU NA YENYE UHAKIKA ZAIDI MWAKA UJAO WA 2013.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...