Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Hildebrand Shayo akimkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nakala za kitabu alichotunga cha mwongozo wa stadi za namna ya kunukuu maandiko mbalimbali ya rejea kwa kazi za kitaaluma. Vitabu hivyo ambayo Kinana naye alivikabidhi kwa Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, ni kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabishi vitabu hivyo Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya pamoja na mtunzi wa kitabu hicho cha 'Biginner's Referencing Resorce Book' Dk. Hildebrand Shayo na Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, wakati wa makabishiano ya nakala za kitabu hicho, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.Picha na Bashir Nkoromo.
OUT na CCM ni baba na mwana???
ReplyDeletewrong place for the right thing!! Academicians please be academicians and exercise your free opinions as professionals, i tend to say Dr. Shayo this is mere a cheap popularity that you are seeking. The book is more meaningful if presented directly to the Universities and Colleges rather than here.
ReplyDeletesasa wewe,kwani huyo aliye ongozana humjui?nafikiri,hafai hata kuongoza hata huo umoja wa wanafunzi wa vyuo vikuu,to be honest!mtu kama anataka siasa,ajikite huko,sio kutupakazia hapa,ujifanye msomi,sijui mzalendo,longolongo mingiiiii,kumbe,ngozi ya kondooo!watanzania wako macho sasa hivi!yes,its the right thing to do,but timing ang location raises eyebrows!
ReplyDelete