Ankal akiwa katika utalii wa ndani maeneo ya Ndutu pembezoni mwa mto Masek, hususan katika kiota cha utalii cha Lake Masek Tented Camp iliyoko ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika mpaka wake na Kaskazini-Magharibi mwa Hifadhi ya Ngorongoro leo. Ankal anapenda kuwatakia wadau wote wa Globu ya Jamii Krismasi njema. Kwa mengi aliyoyaona akiwa Serengeti BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
ankal katika utalii wa ndani Serengeti anakutakia Krismasi njema mdau!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante kwa picha.Krismasi njema na wewe Bro Muhidin.Hao wazee wa kazi ni noma kweli kweli.Mitaa ya geti la Naabi wanakuwepo wengi na kwenye yale mawe(kopjes) katikati ya Seronera na na Geti la Naabi.Umenikumbusha mbali kweli bro,tulikuwa tunapasua njia hizo kwenda mwz kutokea Dar/Arusha kabla Serikali 'ya CCM' haijatuwekea Lami kwenye barabara za kati
ReplyDeleteDavid V
MERRY XMAS MICHUZI MDAU SWEDEN
ReplyDeleteAnko hizi fulana ziko ngapi? Hazichakai? Lakini hata fursa ya kufuliwa inapatikana?
ReplyDelete