Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Aga Khan hospital, salaam zako zimefika kwangu na bila ya shaka salaam zimefika kwa umma. Aga Khan ni hospitali niliyozaliwa na ni hospitali imemtizama mama yangu alivyokuwa akiumwa hoi 'critical' na mpaka kurejesha hali yake ya kiafya kuwa njema kwa uweza wa Allah (s.w.), Mwenyezi Mungu akuzidishieni kila ya kheri madaktari na walezi wa hospitali kwa ujumla, na akuzidishieni huduma njema katika kuhudumia Watanzania kwa wanaojiweza na wasiojiweza kihali na mali. Amin.

    Mtoto wenu,

    Saleh Jaber,
    London,
    UK.

    ReplyDelete
  2. Agakhan, unaogopa nini kuandika MERRY X MAS? au HAPPY X MAS, acha mambo ya mmarekani, HOLIDEI, mie holidei najua ni wimbo wa Madona!

    ReplyDelete
  3. Ukweli MtupuDecember 28, 2012

    ...JESUS is the ONLY reason for the SEASON... no matter how you put it..!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...