Baada ya ile treni ya Mwakyembe ya Dar -Ubungo kufunguliwa kwa vifijo na nderemo na kupokewa kwa furaha zote na wakazi wa jijini Dar es salaam inasemekana ya kwamba hiki kivuko cha treni (train crossing barrier) kama kinavyo onekana katika picha maeneo ya Tabata relini kwa uinjinia uliotukuka kwamba kilisahaulika kufunguliwa siku hiyo na hivyo kusemekana hivi karibuni kitafunguliwa na Kiongozi mkubwa hapa nchini tetesi zinasema wanasubiri Waziri Mkuu aje afungue. uinjinia huu uliotukuka ni moja ya kipaji na hazina kubwa ya nchi hii kwenye kila nyanja!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Wengi wasioitakia mema nchi hii wanajaribu kuzibeza juhudi za Mwakyembe kwa wao kuangalia maslah binafsi. no matter what Mwakyembe amefanya kazi nzuir na kinachotakiwa ni kumpa support ya aina zote ili wananchi waendelee kufaidika. In fact tunahitaji watu serious ili nchi hiyo iweze kurudisha hadhi yake. Kwa haraka haraka tunahitaji watu kama Mwakyembe, Magufuli, Tundu Lisu, January makamba, Dr Dau, Omary Nundu, filikunjombe. wengine utaongezea lakin hao usiwaache.

    ReplyDelete
  2. Je, Nundu na Dau ni akina nani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...