Hon. Zitto Kabwe Presenting Paper on “Clash of interests?” Between economic aspirations and social Responsibility” How development cooperation needs to be configured in future in order to ensure it takes place within a framework of partnership while involving as much of the population as possible.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mimi sio mshabiki wa zitto, lakini kwa hili nampa pongezi.

    Wawekezaji na wasio watanzania ni wezi tuu, hawana msaada wowote kwetu.

    Big up zitto.

    ReplyDelete
  2. hii presentation au notes za kitabuni??

    wabongo kweli power point bado kabisa...hii inanikumbusha ya waziri wetu yuleeeee.....

    ReplyDelete
  3. Wewe anonymous wa mon Dec10, 04:58:00 unae jiramba hapa na kijifanya mtaalamu wa PPT, nini hasa kilichokusukuma uropoke hapa? kama ni hiyo slide iliyoko hewani imechukua maneno mengi kiasi cha kukufanya udhani kwamba slide zote zitakua kama hivi waweza ukawa umekosea yawezekana hiyo slide hapo juu ni summary ya kitu ambacho huyo bwana ana wasilisha,pia kumbuka kwamba hapo si bongo na isitoshe yeye kabla ya kuitwa alituma kazi yake na kupata nafasi kwahiyo acha ngenga hapa.

    ReplyDelete
  4. Dr. Patrick NhigulaDecember 11, 2012

    Mh. Zitto,

    Great presentation. It is well presented. He touches all points. This presentation describes how Africa countries, particular Tanzania needs to invest in education. Invest in education and teachers may help to rebuild our values....

    ReplyDelete
  5. Jamani, tuache kuongea kwa niaba ya "Afrika" kila leo, hii husababisha tunachokipigania kuonekana kipana sana na mwisho wake hakifanyiwi kazi. Tuongee kuhusu nchi yetu zaidi. Yaani uwiano kati ya Afrika na Tanzania uwe 1:20.

    ReplyDelete


  6. I loved the speech zito lakini sidhani kama ilikua vizuri kuiongelea nchi yako kwamba ni ya tatu kupokea misaada ungekaa kimya sababu ni aibu sana sana

    Alafu na wewe mshamba wa kusema hyo PPT basi ungeenda wewe na PPT yako tukuone, Bure kabisaa am sure wewe huna elimu zaidi ya computer course ndo maana unaisema read the presentation achana na kuangalia PPT acha ushamba wewe

    ReplyDelete
  7. Kipi kipya na kile alichokisema na kukiandikia kitabu Profesa Walter Rodney,aliyepata kuishi Tanzania na kufundisha Chuo Kikuu cha Dar es salaam,miaka ya 1970s mwishoni,kitabu kinachoitwa,"How Europe Underdeveloped Africa?".Ai Zitto baye kaja na Version yake tofauti?walio bahatisha kusoma presentation ya Zitto,watuelimishe hapa!.kuna mchangiaji mmoja hapa amewatuhumu wawekezaji wa nje wasio watanzania kwamba wote niwezi tu,"this is very unfortunate,to say the least!",hayo sio maoni ya kisomi hata kidogo,that is "intellectual cowardice,at the very worst".wapo wawekezaji walio watanzania ambao ni wezi hatari zaidi kuliko hata hao wa nje!fikiria mtanzania anaye ona ufahari kuweka fedha za nje (forex)katika mabenki ya nje,huku akijua fika,nchi yake Tanzania,ilivyo kithiri kwa umaskini,kwa ukosefu wa ajira,kwa kutokuwa na viwanda vya msingi,kwa kuwa ombaomba nje,kwa ufisadi,& "what have you?".aliyetoa hoja hizo,anataka kutueleza nini hapa tumwelewe? acheni utoto jamani,lets be serious!hivi,bila ya meandeleo ya teknolojia ya mawasiliano tunayo ijua sasa,na teknolojia zinginezo,ambazo nyingi zimegunduliwa na mataifa hayo hayo tunayo yatuhumu kwa "wizi wa rasilimali zetu",leo hii Tanzania ingekuwa wapi?afrika ingekuwa wapi?lets be honest in this,sitetei mtu hapa!

    ReplyDelete
  8. Yamani ni machozi kujua Hela zinazo hibiwa Nchi za Afrfica Halafu watu wanafurahia misaada.Tuache kupewa hii Misaada they are killing our children development.Ni muda tubadilike jamani usifurahie ufupi wa vipesa vidogodogo ambayo ni temporary ukilamba inakwisha tufundishane kutengeneza vitu vyetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...