Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Kazi,Uwezeshaji Wananchi,Kiuchumu na Ushirika,katika utekelezaji wa
Mpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar.

Watendaji wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji
Wananchi,Kiuchumu na Ushirika, wa Idara mbali mbali wakiwa katika
Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara
hiyo,wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha
na Ramadhan Othman,IKULU.
Uongozi bora ndiyo huu.Hongera Dr.Shein.Uongozi waku tumia wakinamama na kuonesha vipi una toa msaada siyo uongozi bora.Watu wengi wanasadia watu lakini hawa tangazi wala kutimia kama tangazo wakati wana sadia watu binafsi.
ReplyDelete