Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya katika
utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wiazara hiyo katika Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Katibu Mkuu
Kiongozi,Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.
Watendaji wa Wizara ya Afya katika idara mbali mbali za
Wizara hiyo wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika utekelezaji wa
Mpango wa kazi za Wiazara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini
Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Afya katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wiazara hiyo katika
Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo,(wa pili kulia) Katibu
Mkuu Kiongozi,Dk.Abdulhamid Yahya Mzee.Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...