Mwenyekiti wa Mahakama ya Rufaa Tanzania,Jaji Edward Rutakangwe akikagua Gwaride la kuanza kikao cha Mahakama ya Rufaa cha wiki mbili kinachofanyika Zanzibar chini ya mwenyekiti wake Jaji Edward Rutankangwe ambae ndie anaekagua gwaride hilo lililoandaliwa na kikosi cha FFU.
PICHA ya pamoja baina ya Mwenyekiti wa Mahakama ya Rufaa Jaji Edward Rutakangwe wapili kulia na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Otman Makungu wapili kushoto.
JAJI Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,kushoto na Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jaji Edward Rutakangwa.
JAJI Edward Rutakangwa akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) walipofika ofisini kwake Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...