Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kwa pamoja na Balozi wa Norway nchini Tanzania Bibi Arna Klepsivik,wakata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa sensa ya miti (woody Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msitu wa Jozani leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipima mti kujua upana wake baada ya kuzindua zoezi la sensa ya miti (woody Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msitu wa Jozani leo,(kulia) Naibu waziri wa Kilimo na Maliasili Mtumwa Kheir Mbaraka,na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Maliasili Affani Othman Maalim,(kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipima urfu wa mti alioupima urefu kwa kutumia chombo maalum cha kupimia miti,wakati wa uzinduzi wa zoezi la sensa ya miti (woody Biomass Survey) katika hifadhi ya Taifa ya msitu wa Jozani leo.Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...