![]() |
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano, Mhe. Balozi Rajab Gamaha (aliyesimama) akifungua Mafunzo ya Upimaji wa Utendaji Kazi kwa Uwazi (OPRAS) kwa Wakurugenzi na Maafisa wa Wizara yaliyoendeshwa na Wakufunzi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bw. Dushhood Mndeme, Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bi. Neema, Mkufunzi kutoka Utumishi na Bi. Elizabeth Makyao kutoka Utumishi. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
Home
Unlabelled
MAFUNZO YA OPRAS KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA-WIZARA YA MAMBO YA NJE YAANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...