Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. John Mashaka, you are one of the few extremely brilliant guys in tanzania. Stay away from politics. Do your analysis at wallstreet then return to your home viillage in bukoba and retire there. Politics will send you in the path of zitto kabwe mhaya mwenzako of being a mole in CDM. Otherwise Sana for the kind words of peace to tanzanians

    ReplyDelete
  2. mashaka john. umebarikiwa na kipaji cha ushawishi usiitumie vibaya.

    ReplyDelete
  3. John Mashaka sio Mhaya, kila mtu mwenye akili ni Mhaya ? Jaribu kujua ukweli kuhusu mtu sio kusema tu.
    Mdau

    ReplyDelete
  4. John Mashaka and Hill Shayo,

    We warmly receive your Greetings for New year!

    Morever, there is a very interesting page posted here today as you can see above as the World Bank Tanzania Office is congratulating on the achievement of Tanzania on EITI (Extractive Industry Transparency Initiatives), we now need you publicize or initiate your comments on this matter so that the general public discuss over the issue.

    ReplyDelete
  5. We anonymous hapo juu. Usilete ubishi . Hakuna kabila lenye akili kama wahaya hapa Tanzania. Mashaka ni mhaya. Ana undugu na kagasheki . Hongera Mashaka enderea kuwafokea mafisadi

    ReplyDelete
  6. sisi wahaya ndio watu waliosoma sana hapa Tanzania. mashaka john ni mwenzetu, oneni alivyotukuka. mashaka hoyeeee

    ReplyDelete
  7. Ndio ukabila huo nyie wahaya. Mbona Bukoma iko nyuma kimaendeleo kama mnaongoza kwa usomi hapa Tanzania. Tembelea moshi ndio utajua watu waliosoma na wanaopenda kwao. sio nyie mnapenda kujitapa mbele za watu wakati maendeleo yenu yanategemea serikali. Na wachaga tusemeje???? Hongera Shayo!! Michuzi usiibanie hii.

    ReplyDelete
  8. Ubora wa Elimu ya mtu ni mchango wake kwenye jamii inayomzunguka.

    Wahaya hatukatai kuwa wengi wenu mmesoma, kama Mdau anavyo sasambua ya kuwa pamoja na kusoma kwenu bado mmeegemea kusubiri Serikali ifanye kila kitu.

    Mnatakiwa Wahaya mtumie Usomi na Elimu yenu ili kuakisi kasi ya maendeleo kwenye eneo lenu Kagera/Bukoba ili muwe mfano bora kivitendo na ndio tutawapa Heshima yenu kwa hilo na sio kwa Kujisifu bila mfano wa hoja ya haja!

    ReplyDelete
  9. Tujisifu kwa ushirikishwaji na sio kwa Ukabila!

    Tanzania tupo vema ktk mahusiano ya jamii za makabila.

    Yasije yakatukuta ya Jirani zetu Kenya!

    ReplyDelete
  10. Kama Bukoba mmesoma je, ilikuwaje mlikubali Mkuu wa Wilaya wa zamani Lt. Mstaafu Albert Mnali awachape viboko Waalimu wa Shule zenu?

    ReplyDelete
  11. Ahhh

    Wahaya toeni maneno ya tija na sio majigambo kwa misingi ya ubora wa kikabila!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...