Kutokana na maombi ya wadau kibao, ambao wote wamemtuhumu Ankal kwa kuwasahau wa kizazi cha sasa, imebidi kuwe na ngoma azipendazo mbili. Moja ya enzi hizo na moja ya enzi hizi. Leo anaanza na 'Mpenzi Jini'  wa Z-Anto

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. WAKILI NI MIMI DHIDI YA MADAI NA LAWAMA HIZI:

    Namtetea Ankali kwa kusema, Jamvi hili la za Ankal ni MAALUM kwa Miziki ile 'ENZI ZILE, ENZI HIZO' ambayo ikitolewa humu watu wanapata hivi:

    1.WATU WANALIA WAKIKUMBUKA ENZI HIZO.

    2.WATU WANAKUMBUKA MBALI SANA.

    3.WATU WANADHIHIRISHA UKWELI YA KUWA MAISHA YAMELIWA VILIVYO HUKO NYUMA.

    4.WATU WANADHIHIRISHA YA KUWA UKUBWA NI JIWE KWA MAJUKUMU WAKIJIONA KAMA WAMEIBEBAB DUNIA.

    HUKU MAKUNDI KWA MAKUNDI YA WENZETU WA ENZI HIZO WAKIWA WAMESHATANGULIA KWA MWENYEZI.

    5.WATU WANATAMANU KURUDISHA MKANDA NYUMA LAKINI WAPI!

    Nashauri Ankali ILI KUACHA UTAMU WA ENZI HIZO UENDELEE anzisha ukurasa wao na hawa wa kizazi kipya au KILA UTOAPO YA ENZI HIZO UNATOA NA YA SASA, ILI MCHEZO UWE NGOMA DROO, MAANA WATOTO WALIOZALIWA ENZI HIZI ZA JAKAYA WANATABU SANA NA MADAI YAO!

    -----------------------------------
    Wimbo: IMEWAUMA KWA SANA
    -----------------------------------
    IMEWAUMA KWA SANA,
    LEO x 3
    NAENDA KUSEMA KWA MAMA LEO x 2
    NIKITOKA NAENDA KUMWAMBIA MAMA
    LEO x 2

    WATOTO WALIOZALIWA ENZI HIZI ZA JAKAYA WANA TABU KWELI KWELI !
    -----------------------------------

    ReplyDelete
  2. hii video ilipigwa na kamera gani? yaani nyimbo unazotoa za miaka ya nyuma zaidi ni afadhali mara mia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...