Injinia Suphian Masasi akiwa ni mwenye uso wa furaha baada ya kutunukiwa shahada PhD katika fani ya Uhandisi ujenzi katika Chuo kikuu cha University of Leeds.
Wakuu wa kitengo cha uhandisi Chuo Kikuu cha university of leeds, Prof. N. Smith ambaye ndie mkuu wa kitengo na alikuwa msimamizi wa inginia Suphian Masasi aliyeshika Karatasi, akiwa na msaidizi wake Prof. Duncan (mwenye ndevu nyeupe) wakiwa na Injinia Suphian baada ya kutunukiwa shahada yake kwenye maafali hayo.
Mkuu wa kitengo cha utafiti wa udongo na matumizi bora Dr Terry Cousens akimpongeza injinia Suphian Masasi kwa kufanikiwa kuhitimu mafunzo yake salama, katika tafrija maalum aliyoandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza wahitimu wa fani ya uhandisi.
maustaadh wa Leeds wakiwemo Ustaadh Mahil Mohamed kushoto mwenye suti ya kijivu, na Mufti Haji kulia (mwenye koti jeusi) wakimpa nasaha Injinia Suphian Masasi, katika tafrija ya kumpongeza iliyofanyika katika ukumbi wa Parckingson steps jijini Leeds.
Hongera Injinia Suphian Masasi kwa hatua hiyo!
ReplyDeleteKaribu nyumbani Tanzania uje ulete viwango vya ubora wa ujenzi.
Ustadh Mahil yeye ni mtu wa mkataba lakini hapo anajichanganya na Watanganyika!!
ReplyDeletemwagito congrats from mdau wa kansas
ReplyDeleteAssalaam Aleikum Engineer Masasi, pokea hongera zangu kwa kufanikisha uliloliendea huko Leeds.Naomba namba yako ya simu au hata email niweze kuwasiliana nawe ndugu yako.Email yangu ni : zam.khalifa@comhem.se
ReplyDeleteHONGERA SANA MASASI KUMBE BADO ULIKUWA UK?
ReplyDeleteSufyan - I am glad for you. All the hard work has ultimately paid off and that spells the rationale of "sabr". You are now entering a new phase - a kind of "make or break". You can join the armies of destruction or those of construction - the choice is yours and I hope and pray that you opt fro the latter.
ReplyDeleteYour brother from the middle of the desert
hongera sana Dr.suphian masasi n karibu Tanzania.
ReplyDeletehongera mume wangu kwa kupata phd yako na familia yako tunafuraha sana na karibu sana nyumbani tunakusubiri kwa furaha.
ReplyDeleteHongera sana kaka yangu.
ReplyDeleteumefanya kazi nzuri sana, Mungu akuzidishie.
ndugu zako tumefurahi sana.
Kwa niaba ya wana Leeds wote tunakupongeza na kukutakia mafanikio insh Allah
ReplyDeleteHongera sana kaka yangu Dr Engineer Masasi Karibu kwenye joto la Dar. Mwenyezi Mungu akujaalie kila la Keri Inshaallah uweze kuwatumikia vyema watanzania. Tunamatumaini na Wewe ndiyo maƱana Mwenyezi Mungu amekujaalia hivyo
ReplyDelete