Mara nyingi ukisikia nyimbo kutoka Arusha huwa inakuwa ni Hip Hop.Vijana kutoka katika jiji hilo lililopo kaskazini mwa Tanzania na ambalo mara nyingi limekuwa likiitwa “Geneva Of Africa”, wamekuwa wakiegemea zaidi katika upande wa Hip Hop.
Well…that is about to change kwani kuna kundi ambalo lenyewe limeanza kwa RnB. Linaitwa Dady Dadyz na linaundwa na Solomon Mwaigwisya {rapper wa kikundi}, Atufigwege Mwailunga{singer wa kundi} na Emanuel Mghase { huyu anadeal na vitu vingine vya kundi kama kusambaza nyimbo na kusimamia stage perfomance}
Kupata wimbo wao unaokwenda kwa jina 'Mzuri' ambao umerekodiwa pale FishCrab Studios chini ya Producer,Lamar sogea bongocelebrity BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...