Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi (wa tano kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi walioshiriki Maonyesho Siku ya Ziwa Victoria,yaliyoadhimishwa jana mjini Bariadi,Simiyu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akitoa zawadi kwa Washindi wa Maonyesho Siku ya Ziwa Victoria. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi Mhe.Erasto Sima.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akiwa na Vingozi wa Chama na Serikali kwenye madhisho ya Siku ya Ziwa Victoria Bariadi Simiyu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akipanda mti katika Shule ya Msingi Mkapa kijiji ca Malekano Wilayani Maswa. Mradi wa upandaji miti unafadhiliwa na Mradi wa Hifadhi ya Mazingira ya Ziwa Victoria (LVEMP 11).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Eng.Christopher Sayi akipata maelezo ya upimaji wa uwingi wa Maji mtoni kwa kutumia kifaa maalumu.


Naona Mzee Sayi ameanza kujiandaa na ubunge 2015, well itakua bariadi mashariki nini? karibu sana mzee christopher sayi, mungu akipenda myself i envisage to run for that seat through chadema.See ya!!
ReplyDeletemdau Matondo Ng'wana Gadushi wa Luguru na USA.