Mnyama akivamia jukwaa kwa mbwembwe.
Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’ akikamua kwa hisia kali ndani ya Dar Live.
MSANII wa kizazi kipya nchini, Khaleed Mohamed ‘TID Mnyama’, usiku wa kuamkia leo amedhihirisha unyama wake baada ya kufanya makamuzi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live katika onesho maalum lililopewa jina la Usiku wa Mnyama. Wasanii wengine walioupamba Usiku wa Mnyama ni Albert Mangwair, Kassim Mganga, Chid Beenz, Wakali wa MIC, na kundi la Mtu Benga likiongozwa na Dogo Mfaume.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...