Mgeni Rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Rasmi kwa Kikundi cha Precious (kikundi cha kidada wajasiliamali),Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania,Bi. Margret Chacha (alieketi) akibonyeza kitufe cha Kompyuta kuashiria uzinduzi rasmi kwa kikundi hicho,uliofanyika katika Ukumbi wa Isumba Lounge (Joly Club zamani),Jijini Dar es Salaam jioni ya leo.Wengine pichani ni Baadhi ya Wakachama wa Kikundi hicho.
 Picha ya Pamoja kwa Wanakikundi wote na Mgeni Rasmi.
 Mwenyekiti wa Kikundi cha Precious kwa kipindi cha Mwaka 2012,Agnes Shayo Hiza akizungumza wakati wa kuwakaribisha wageni mbali mbali waliofika katika Hafla hiyo,iliyofanyika jioni ya leo katika Ukumbi wa Isumba Lounge (Joly Club zamani),Jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
 Katibu wa Kikundi cha Precious kwa kipindi cha Mwaka 2012 ambaye pia alikuwa MC wa hafla hiyo,Janester Mchau  akiongoza mambo mbali mbali katika hafla hiyo,iliyofanyika jioni ya leo katika Ukumbi wa Isumba Lounge (Joly Club zamani),Jijini Dar es Salaam jioni ya leo.
Mshauri wa Kikundi cha Precious,Christina Nyerere Gichogo akisoma risala ya kikundi hicho muda mfupi kabla ya uzinduzi rasmi uliofanyika jioni ya leo katika Ukumbi wa Isumba Lounge (Joly Club zamani),Jijini Dar es Salaam.
 Mshauri wa Kikundi cha Precious,Christina Nyerere Gichogo akikabidhi risala hiyo kwa Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Wanawake Tanzania,Bi. Margret Chacha.Katikati ni Mweka Hasina Msaidizi wa Kikundi hicho,Anna Njuguna Lubuva.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Asante Uncle Michuzi kwa support yako be blessed.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...