Mke Wa Rais Mama Salma Kikwete Akiwapungia Wageni Waalikwa Katika Hafla Fupi Ya Siku Ya Watoto Yatima.Iliofanyika Katika Viwanja vya ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Dar es Salaam leo. Ilio Fadhiliwa Na Twiga Cement Na Rotary Club Dsm Nrth (PCHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Mke Wa Rais Mama Salma Kikwete Akisalimiana Na Mkukurugenzi Wa Twiga Cement Pascal Lesoinne Baada Ya Kuongea Na Wageni Waalikwa Waliofika Katika Hafla Hiyo.




HONGERA SANA FIRST LADY UNAFANYA KAZI NZURI SANA.PIA UMEPUNGUZA MWILI UMEPENDEZA SANAA.
ReplyDeletehongera mama. Napenda unavyotunza ngozi yako ipo ya asili kabisa
ReplyDelete