MAREHEMU AGNES KATHLEEN SHAURI
Mpendwa mama yetu leo umetimiza miaka mitano tangu ulipotuacha,Pengo uliloacha haliwezi kuzibika kamwe.
Upendo, ucheshi na ukarimu wako hatutasahau.
japo miaka mitano imepita lakini bado tuna uchungu mkubwa moyoni wa kutokuwa pamoja na wewe.
Unakumbukwa sana na mume wako, watoto wako, wajukuu ndugu na jamaa.
Mungu azidi kukupa raha ya milele mama yetu mpendwa.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.....
Amin
Rest in peace mama we miss you
ReplyDelete