Hii ni sehemu ya kutoka Magomeni Kagera hadi Mwembechai jijini Dar ess salaam ambako mkeka kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka umeshaanza kutandikwa na kazi inaendelea kwa kasi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mkandarasi huyu inabidi asimamiwe na TANROADS, kwani mimi naona yeye badala ya kujenga eneo moja kisha kuhamia sehemu nyingine, yeye amechimbua barabara zote Morogoro Rd mpaka Kinondoni maeneo ya Morocco kana kwamba hatukuwa na barabara ndio ujenzi umeanza wakati sehemu anazozijenga zinahesabika!!! Ameleta usumbufu na foleni kubwa hasa pale Magomeni, Manzese, njia panda ya Mabibo na maeneo ya Morocco. Pia njia zote za kuchepuka kutokea upande wa pili amezifunga kwa mfano Mabibo kuelekea Uzuri n.k. Ujenzi huu uendelea bila kuleta usumbufu kwa wapita njia, bodaboda na magari kwani tunalazimika kubanana sehemu za kupishana.

    ReplyDelete
  2. Jamani barabara hii haina sehemu za kukatisha kwenda kushoto au kulia kuanzia magomeni handi shekilango. inahitaji kupanga safari vizuri na sio kubadili mawazo njiani.

    ReplyDelete
  3. Come on! Huo ni mkeka au dongo?

    ReplyDelete
  4. mbonahakuna pedestrians crossing hatamoja umbali ulioonyeshwa kwenye hii video!

    ReplyDelete
  5. Hey Ankal, kwanini hutuwekea ule muziki wa Westren Jazz band kama ulivyofanya pale mwanzo? Please Ankal, ukituenesha tana maendeleo ya barabara hii tunaomba tusindikizwe na Western.

    ReplyDelete
  6. wewe umeambiwa ujenzi unaendelea unataka kuona pedestrian crossing!!??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...