Hii ni sehemu ya kutoka Magomeni Kagera hadi Mwembechai jijini Dar ess salaam ambako mkeka kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka umeshaanza kutandikwa na kazi inaendelea kwa kasi...
Home
Unlabelled
maendeleo ya ujenzi wa barabara kwa mabasi yaendayo haraka washika kasi jijijni dar es salaam
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mkandarasi huyu inabidi asimamiwe na TANROADS, kwani mimi naona yeye badala ya kujenga eneo moja kisha kuhamia sehemu nyingine, yeye amechimbua barabara zote Morogoro Rd mpaka Kinondoni maeneo ya Morocco kana kwamba hatukuwa na barabara ndio ujenzi umeanza wakati sehemu anazozijenga zinahesabika!!! Ameleta usumbufu na foleni kubwa hasa pale Magomeni, Manzese, njia panda ya Mabibo na maeneo ya Morocco. Pia njia zote za kuchepuka kutokea upande wa pili amezifunga kwa mfano Mabibo kuelekea Uzuri n.k. Ujenzi huu uendelea bila kuleta usumbufu kwa wapita njia, bodaboda na magari kwani tunalazimika kubanana sehemu za kupishana.
ReplyDeleteJamani barabara hii haina sehemu za kukatisha kwenda kushoto au kulia kuanzia magomeni handi shekilango. inahitaji kupanga safari vizuri na sio kubadili mawazo njiani.
ReplyDeleteCome on! Huo ni mkeka au dongo?
ReplyDeletembonahakuna pedestrians crossing hatamoja umbali ulioonyeshwa kwenye hii video!
ReplyDeleteHey Ankal, kwanini hutuwekea ule muziki wa Westren Jazz band kama ulivyofanya pale mwanzo? Please Ankal, ukituenesha tana maendeleo ya barabara hii tunaomba tusindikizwe na Western.
ReplyDeletewewe umeambiwa ujenzi unaendelea unataka kuona pedestrian crossing!!??
ReplyDelete