Menaja wa Mradi wa maji safi Vijijini wa Kiashange Mkwajuni mkoa kaskazini unguja kutoka kampuni ya ujenzi ya china ya CRJ Bwana Zhao Zhao Yufeng akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kadhia iliyowakumba wakati awalipovamiwa na majambazi kwenye kituo chao.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Menaja wa Mradi wa maji safi Vijijini wa Kiashange Mkwajuni mkoa kaskazini unguja kutoka kampuni ya ujenzi ya china ya CRJ Bwana Zhao Zhao Yufeng baada ya kuvamiwa na majambazi katika kituo chao.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia baadhi ya vifaa vya mradi wa maji safi vijiji viliopo katika kituo cha mradi wa maji kiliopo kiashange mkoa wa kaskazini Unguja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...