Wadau mnaombwa kuwa makini na Ujumbe unaosomeka hapo chini ambao unaonekana umetoka kwa Balozi wetu Nchini Ufaransa,Mh. Begum Karim Taj.
Ukweli ni kwamba,Mh. Balozi hajatuma ujumbe huu na wala hajui chochote juu ya Ujumbe huu,kwani email yake imeibiwa.
hivyo kwa yeyote alietumiwa ujumbe huu,asije kuingia mkenge wa hawa jamaa.
======== =========
Hello,
This message may be coming to you as a surprise but I need your help.Few days back my family and I made an unannounced vacation trip to LONDON, UNITED KINGDOM. Everything was going fine until last night when we were mugged on our way back to the hotel. They Stole all our cash,credit cards and cellphone but thank God we still have our lives and passports safe. The hotel manager has been unhelpful to us for reasons I don't know. I'm writing you from a local library.
I've reported to the police and after writing down a statements that's the last I had from them. I contacted the consulate and all I keep hearing is they will get back to me. Our return flight leaves soon...I need you to help me out with a fast loan to settle our bills here so we can get back home . I'll refund the money as soon as we get back. All i need is 1,450 Pounds Let me know what you can do so I can tell you how to get the money to me.
Thanks.
Ambassador Begum Karim Taj,
Embassy of Tanzania,
13 Avenue Raymond Poincaré,
75116, Paris,
France.
MTINDO WA NAMNA HII, ULISHAPITWA NA WAKATI SIKU NYINGI SANAA.
ReplyDeleteSithubutu kuita mtu mpumbavu,lakini sielewi nimwite vipi mtu ambaye asoma email kama hiyo kutoka kwa mtu ambaye bila shaka hamjui,kisha "amkopesha" paundi elfu moja, just like that.Two things, either too much money, or too few brain cells.
ReplyDelete
ReplyDeleteNani kasema ulisha pitwa na wakati?? sema huyu ana jiufunza alafu me nawashangaa watu wanotumia personal emails kwenye internet verification sites siku hivi yahoo boys wamejaa kila mahali
Ama kweli Bongo tambarale!
ReplyDeleteHapo tusitafute Mchawi ni Wabongo sisi kwa sisi, unakuta mtu anatafuta kuonana na Mhe. Balozi Begum anafanikiwa anafika Ofisini wanamaliza maongezi huku mwalikwa akiwa katika suala husika lililompeleka pale, kama mnavyojua Wabongo ni wapekuzi unakuta mtu akiwa Ofisi ya Ubalozi anazama kwenye Mtandao wa Ubalozi anafanikiwa kuiba siri za barua pepe!
Ndio humo humo tunapigana, mtu anaaminiwa kama Mwanandugu akifika Ubalozini kumbe kaja na yake mengine, anaingilia mtandao wa Ofisi anaiba siri za barua pepe ya Mhe. Balozi!
Kweli hivi tutafika?,unaalikwa kwa heshima ukifika unahujumu!, kama wewe Mwanandugu unafanya haya mwenyewe ama kwa kushuirikiana na Wasanii hivi kweli utakuwa Mwananchi Mtanzania safi?
Mwizi anaomba GBP (Pound za Ungereza) moja kwa moja mwizi atakuwa ni Mbeba mabox aliyepo Unigereza na wala hakai Ufaransa alipo Balozi, mbongo anatapa tapa kutaka apumue na mzigo mgumu wa ubebaji mabox kwa kubuni mpango mpya wa maisha wa Utapeli!!!
ReplyDelete