Watoto wa Shule Mbalimbali za Dar wakiimba Wimbo wa Taifa wa Korea Kusini katika sherehe za uzinduzi wa maktaba ya watoto katika jengo la Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete
Mgeni Rasmi Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akihutubia kabla ya kuzindua Maktaba hiyo
Mama Salma Kikwete akiwa kwenye Maktaba ya Watoto baada ya kuizindua
Mama Salma Kikwete katika picha ya pamoja na wageni mashuhuri wakifurahia hatua hiyo ya kimaendeleo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...