HABARI ZIMETUFIKIA SASA HIVI ZINASEMA KWAMBA MBUNGE WA ZAMANI WA TABORA MJINI SIRAJU JUMA KABOYONGA (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA GHAFLA SAA NNE USIKU WA KUAMKIA LEO JIJINI DAR ES SALAAM.
KWA MUJIBU WA TAARIFA KUTOKA NSSF, AMBAKO ALIWAHI KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI WA MFUKO HUO WA JAMII, MAREHEMU KABOYONGA ANATARAJIWA KUZIKWA SIKU YA ALHAMISI NA MSIBA UKO NYUMBANI KWAKE SINZA, JIJINI DAR ES SALAAM.
MAREHEMU PIA ALIWAHI KUWA KUWA MENEJA WA KANDA WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA MASHARIKI (EAST AFRICAN DEVELOPMENT BANK - EADB) KATIKA OFISI ZAKE JIJINI DAR ES SALAAM.
TUTAENDELEA KUWAPA TAARIFA ZAIDI KADRI ZITAKAVYOTUFIKIA.
MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMIN
Inalillah wainna ilaih swabirinna
ReplyDeleteMarehemu pia alifanyakazi Benki kuu ya Tanzania kwa nyazidhifa mbalimbali.
Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amina
RIP
ReplyDeleteMwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi. Aamen
ReplyDeleteHabari hii inasikitisha sana jamani. Such a good and unique brain is gone!! Hayo ndiyo mapenzi ya Mungu. Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo.
ReplyDeleteNawatakia Familia yake wawe na moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu. POLENI SANA.
So sad Mungu awape moyo Wa subra Pole sana ndugu yangu issa
ReplyDeleteRIP Dear Komredi!
ReplyDeleteInna lillahi wa inna ilaihi rajiun. Very unique, smart, talented individual. I have soo much respect for the man, should have made a good Governor. Salam zangu za rambi rambi zimfikie Issa, Musa na Fatma Siraju pamoja na ndugu na jamaa wa marehemu. Mungu amlaze peponi. Your help will always be remembered
ReplyDeleteMungu ailaze roho ya mpiganaji wetu mahala pema peponi!
ReplyDeletemungu ailaze roho ya baba yangu mpendwa mahala pema peponi...we'r loving u so much daddy
ReplyDelete