Ni mdau Rehema Mwaituka ambaye baada ya kula nondozzzz yake katika fani ya ustawi wa jamii katika Chuo cha Ystawi wa Jamii jijini Dar es salaam aliamua kusherehekea na wazee wanaoishi katika kijiji cha wasiojiweza cha Msimbazi Centre jijini Dar es salaam
Rehema akiwakaribisha wazee katika meza ya chakula
Mdau Rehema akipata mlo na wazee
good sana
ReplyDeleteni email mvdimpo@gmail.com
Hongera Mdau Rehema !!!
ReplyDeleteHuo ndio moyo wa kujali na ulezi wa Jamii.
Inshallah, Mwenyezi atakulipa kwa kuwajali!@
imekaa vizuri sana. Na wenye watoto tuige mfano huu tukifanya hepi birthday za watoto wetu!!
ReplyDeleteWewe dada Mungu akubariki sana. Siyo tu umeenda shule, bali umeelewa ulichofundishwa. Hiyo ndiyo tofauti kati ya kuelimika na kutoelimika.
ReplyDeleteHii nimeipenda sana pia. Mdada katoka kivingine. Mungu ambariki sana. Kama hajapata kazi, Namuombea apate kazi mara tu baada ya msimu wa sikukuu kupita. Amen.
ReplyDeletehuo sasa ndio ubinadamu sasa kuwa kumbuka hata wasio jiweza kama hivyo siku ukipata freshi sana, dada mungu atakuongezea zaidi,,
ReplyDeleteukisikia mtu kuwa na wito wa kufanya kazi katika jamii ni mfano wa huyu dada. Mungu akutangulie ulivyo anza na umalize hivyo hivyo dada yangu. umekuwa mfano mzuri sana
ReplyDeleteAisee we dada umetupa Somo watanzania, mungu akubariki.
ReplyDeleteHongera sana sana dada
ReplyDelete