Mkurugenzi wa Kampuni ya Rena Event Limited Bw Rena Calist akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Seaescape iliyoko Mbezi Afrikana jijini Dar es salaam wakati akizungumzia matayarisho ya mwisho kabla ya shindano la Miss East Africa linalotarajiwa kufanyika kesho Desema 21 kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam.Katika shindano hilo wanashiriki warembo kutoka mataifa mbalimbali ya ukanda wa nchi za Afrika Mashariki na na baadhi ya nchi jirani na ukanda h ambapo mshindi wa shindano hilo anatarajiwa kujinyakulia zawadi zenye thamani ya dola za Kimarekani elfu thelathini 30,000.Kushoto ni Guetano Kagwa ambaye atakuwa MC wa shindano hilo na kulia ni Serge Nkurunzinza Mwakilishi wa Miss East Africa nchini Burundi .

"Dondola angalia sana kiuno kitakatika"
ReplyDeleteNatabiri burundi wataibuka washindi ktk mpambano huu.
ReplyDeleteMdau wa tatu unatabiri Burundi?
ReplyDeleteHebu angalia picha ya 3 kutoka juu hao wawili kutoka kulia wa pili na wa tatu, utakuja kusema baada ya Mashindano, Eti nini Burundi?,,,mwanawane kazi ipo Rwanda na Eritrea !
Ohhh wewe mdau wa pili hapo juu unaema Burundi?, hujamwona dada yake Niyonzima wa Kigali-Rwanda hapo?
ReplyDeleteAhhh!,
ReplyDeleteHawa wasichana wetu wa nywele za Manyoya ya farasi kweli wapo hapo?